Msingi unekamilika 18 Nov 2021
Uwekaji mawe kwa ajili ya Jamvi umekamilika 22 Nov 2021
Usawa wa lenta ya chini ya madirisha 26 Nov 2021
Mwamishali SS kesho tunapandisha genchi na na kujengea hanamu 5 Dec 2021
Upandishaji kenchi umekamilika 12 Dis 2021