• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Meatu District Council
Meatu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Meatu

  • Mwanzo
    • sub home
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Miundombinu, Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Pre Primary Education
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango na Uratibu
      • Utumishi, Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha
      • Uratibu wa Manunuzi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Expertise
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Fedha, Uongozi na Mipango
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha habari

Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe

Malengo:

Kutoa huduma bora za Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe kwa Ustawi wa Jamii.

Majukumu:

  • Kusimamia utekelezaji wa sera, Sheria na kanuni za utoaji wa huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe.
  • Kuandaa mipango ya muda mrefu kwa Sekta ya Afya katika Halmashauri.
  • Kuhamasisha ushirikishaji wa wadau mbalimbali katika shughuli za afya, lishe na ustawi wa jamii.
  • Kuandaa na kuwasilisha taarifa za huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe.
  • Kuanzisha mikakati ya kudhibiti magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza.
  • Kusimamia miradi ya afya, ustawi wa jamii na lishe.
  • Kusimamia mifumo ya kanzidata kwa masuala yanayohusiana na huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe.

Divisheni hii ina Sehemu (Seksheni) Tatu (3) ambazo ni:-

  • Afya
  • Ustawi za Jamii
  • Lishe

    Seksheni ya Huduma za Afya

    Majukumu: 
  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za huduma za Afya.
  • Kushauri juu ya uratibu na ujengaji uwezo kwa huduma za afya.
  • Kuandaa mipango na program za mda mrefu na mda mfupi kuhusiana na huduma za afya.
  • Kuratibu na kutathmini hali ya magonjwa ya mlipuko, kinga ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kwenye Taasisi mbalimbali na jamii kwa ujumla.

    Seksheni ya Ustawi wa Jamii

    Majukumu:
  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu kwa maendeleo ya ustawi wa jamii.
  • Kuandaa mipango yam da mfupi na mda mrefu na miradi ya ustawi wa jamii.
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya ustawi wa jamii.
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusiana na ustawi wa jamii.
  • Kuandaa taarifa zinazohusu ustawi wa jamii

    Seksheni ya Huduma za Lishe

    Majukumu:
  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za maendeleo ya lishe.
  • Kuandaa mipango ya muda mfupi na mda mrefu na miradi ya lishe..
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya lishe.
  • Kuratibu na kusimamia miradi inayohusu masuala ya lsihe.
  • Kuandaa taarifa zinazohusiana na lishe ya jamii.
  • Kuijengea jamii uelewa kuhusiana na masuala ya lishe.
  • Kuratibu na kutathmini utoaji wa huduma za lishe ndani ya Halmashauri.
  • Kukusnya na kuchambua taarifa zinazohusiana na huduma za lishe; na
  • Kutoa huduma za lishe kwa watoto, wazee na watu wenye mahitaji maalum.


Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi September 16, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji kwa Ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa September 16, 2024
  • Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 February 20, 2024
  • Taarifa ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Matokeo ya Mwanzo February 20, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi Karibuni

  • Jamii Yatakiwa Kupinga Mila Potofu, Kandamizi

    March 08, 2023
  • Meatu Pikipiki Tisa

    February 14, 2023
  • TAKUKURU RAFIKI

    January 27, 2023
  • Hongereni Wataalam: Ngatumbura

    January 27, 2023
  • Angalia zote

Video

Ziara ya Waheshimiwa mawaziri nane Wilaya ya Meatu kwa ajili ya kukusanya Maoni ya Kutatua Migogoro
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Miongozo Mbali mbali
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari
  • Dokumenti mbali mbali

Tovuti mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Meatu, Simiyu, Tanzania

    Anwani ya Posta: S.L.P 44

    Simu: 028 2795 008

    Simu ya Mkononi: 0622 404 712

    Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.