• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Meatu District Council
Meatu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Meatu

  • Mwanzo
    • sub home
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Miundombinu, Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Pre Primary Education
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango na Uratibu
      • Utumishi, Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha
      • Uratibu wa Manunuzi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Expertise
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Fedha, Uongozi na Mipango
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha habari

Elimu ya Sekondari

Malengo:

Kuratibu utekelezaji wa Sera, Mipango, Sheria na Miongozo ya Elimu ya Sekondari.

Majukumu:

  • Kusimamia mitihani ya upimaji na mitihani ya Taifa ya kidato cha pili, kidato cha Nne na kidato cha sita.
  • Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa mipango na program ka shule za sekondari.
  • Kusimamia utoaji wa elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi katika ngazi ya sekondari.
  • Kuanzisha, kuimarisha kanzidata kwa elimu ya sekondari.
  • Kuratibu elimu ya stadi za kazi kwenye shule za sekondari.
  • Kuratibu na kusimamia michezo ya shule za sekondari.
  • Kuandaa mahitaji ya upimaji wa elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi; na
  • Kushauri juu ya uanzishaji na uimarishaji wa vituo vya kutolea elimu maalum, elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi.

Idara ina vitengo vinne (4) ambavyo ni:-

  • Taaluma
  • Vielelezo na Takwimu
  • Mahitaji maalum
  • Elimu ya watu wazima n aisiyo rasmi.


Taaluma

Majukumu:

  • Kusimamia utekelezaji wa sera, mipango na miongozo katika shule za sekondari.
  • Kusimamia maendeleo ya taaluma kwenye shule za sekondari.
  • Kuratibu na kusimamia mitihani ya upimaji na mitihani ya kidato cha pili, kidato cha Nne na kidato cha sita.
  • Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa mipango ya elimu ya sekondari na kupima uimara na udhaifu wake; na
  • Kuratibu na kusimamia michezo kwenye shule za sekondari.


Vielelezo na Takwimu

Majukumu:

  • Kukusanya, kuchambua na kutafsiri takwimu za elimu ya sekondari.
  • Kuratibu upatikanaji, usambazajina matumizi ya rasilimali katika ngazi ya sekondari
  • Kuratibu takwimu na vielelezo kuhusiana na uandikishaji wa wanafunzi.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa maendeleo ya elimu sekondari; na
  • Kubainisha mahitaji ya rasilimali


Elimu ya Mahitaji Maalum

Majukumu:

  • Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mipango ya elimu sekondari.
  • Kuwabaini watoto wenye mahitaji maalum na kuwapangia shule.
  • Kukusanya taarifa za wanafunzi wenye mahitaji maalum na kuishauri mamlaka ipasavyo.
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na matumizi ya rasilimali kwa ajili ya elimu ya mahitaji maalum.


Elimu ya Watu Wazima na Elimu Isiyo na Mfumo Rasmi

Majukumu:

  • Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mipango ya elimu ya watu wazima na elimu ya mfumo usio rasmi.
  • Kuratibu elimu ya stadi za kazi.
  • Kufanya upimaji wa mahitaji kwa elimu ya watu wazima na elimu ya mfumo usio rasmi.
  • Kushauri juu ya uanzishaji na uimarishaji wa vituo vya elimu ya watu wazima na elimu ya mfumo usio rasmi; na
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na matumizi ya rasilimali kwa elimu ya watu wazima na elimu ya mfumo usio rasmi.


Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi September 16, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji kwa Ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa September 16, 2024
  • Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 February 20, 2024
  • Taarifa ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Matokeo ya Mwanzo February 20, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi Karibuni

  • Jamii Yatakiwa Kupinga Mila Potofu, Kandamizi

    March 08, 2023
  • Meatu Pikipiki Tisa

    February 14, 2023
  • TAKUKURU RAFIKI

    January 27, 2023
  • Hongereni Wataalam: Ngatumbura

    January 27, 2023
  • Angalia zote

Video

Ziara ya Waheshimiwa mawaziri nane Wilaya ya Meatu kwa ajili ya kukusanya Maoni ya Kutatua Migogoro
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Miongozo Mbali mbali
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari
  • Dokumenti mbali mbali

Tovuti mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Meatu, Simiyu, Tanzania

    Anwani ya Posta: S.L.P 44

    Simu: 028 2795 008

    Simu ya Mkononi: 0622 404 712

    Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.