• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Meatu District Council
Meatu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Meatu

  • Mwanzo
    • sub home
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Miundombinu, Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Pre Primary Education
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango na Uratibu
      • Utumishi, Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha
      • Uratibu wa Manunuzi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Expertise
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Fedha, Uongozi na Mipango
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha habari

Maendeleo ya Jamii

Malengo:

Kusimamia shughuli za Maendeleo ya Jamii  ndani ya Halmashauri

Majukumu:

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria na taratibu kuhusiana na Maendeleo ya Jamii.
  • Kuiwezesha jamii kuanzisha, kupanga kutekeleza na kuthamini miradi yake.
  • Kuandaa mipango ya mda mfupi na mda mrefu na mradi ndani ya Halmashauri.
  • Kufanya tafiti na kupendekeza namna ya kushughulikia changamoto mbalimbali za kimaendeleo zinazoikabili jamii kwa kushirikiana na Wizara yenye dhamana na wadau wengine.
  • Kudhibiti na kusimamia uendeshwaji wa Taasisi ndogo ndogo za kifedha kwa mujibu wa sera za Benki  Kuu (BOT)
  • Kuratibu na kusimaia shughuli za maendeleo ya Wananwake, Watoto na wenye ulemavu.
  • Kuratibu mafunzo kuhusiana na kuondoa umasikini, UKIMWI, Madawa ya kulevya na usawa wa Kijinsia.
  • Kuratibu na kusimamia shughuli za asasi za Kiraia, asasi za kidini katika Maendeleo.
  • Kuratibu na kusimamia shughuli za Maendeleo ya Jamii ndani ya Halmashauri


Divisheni hii ina vitengo viwili ambavyo ni:-

  • Uratibu wa masuala Mtambuka
  • Uratibu wa Asasi za Kiraia na Kijamii


Uratibu wa Masuala Mtambuka

Majukumu:

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria na taratibu kuhusiana na Maendeleo ya Jamii.
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi kwa Maendeleo ya Jamii.
  • Kuandaa mipango ya muda mfupi na muda mrefu na miradi kwa Maendeleo ya Jamii.
  • Kufanya tafiti na kupendekeza namna ya kutatua changamoto mbalimbali za kimaendeleo.
  • Kuratibu na kusimamia maendeleo ya wanawake, watoto na watu wenye ulemevu.
  • Kuratibu na kutoa mafunzo ya njia za kuisaidia jamii kujikwamua na umaskini, UKIMWI, Madawa ya kulevya na kuhamasisha usawa wa kijinsia.
  • Kukuza ushiriki wa Jamii na kujitolea kwenye shughuli/miradi ya Maendeleo.
  • Kuratibu na kushiriki katika kukuza uelewa juu ya ushiriki wa Jamii katika shughuli za maendeleo.
  • Kuratibu na kushiriki katika kuhamasisha Jamii juu ya ushiriki katika mipango, utoaji wa maamuzi, utekelezaji na tathmini ya miradi ya sekta mtambuka na
  • Kufanya utafiti kuhusiana na masuala ya Kijamii yanayodhorotesha maendeleo ya Kijamii


Asasai za Kiraia na Asasi za Kijamii (NGOs & CBOs)

Majukumu:

  • Kuratibu usajili wa Asasi za Kiraia na Kijamii na kufuatilia shughuli zake katika Maendeleo ya Jamii.
  • Kuratibu utoaji wa elimu ya uraia katika Jamii.
  • Kanzisha na kusimamia ubia na taasisi, Mashirika ya ndani na nje ya nje zinazojihusisha na ukuaji wa shughuli za Maendeleo kwa jamii kupitia Wizara yenye dhamana ya Maendeleo ya Jamii.
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote kuhusiana na Maendeleo ya Jamii.
  • Kusimaia utekelezaji wa makubaliano yote kuhusiana na Maendeleo kwa jamii
  • Kuandaa taarifa kuhusiana na Maendeleo ya Jamii: na
  • Kudhibiti na kusimaia uendeshaji wa shughuli za Taasisi ndogo ndogo za kifedha Daraja la Nne (4) chini ya sera ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Mwaka 2023 December 14, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE) 2022 December 01, 2022
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani November 30, 2022
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Zoezi la Kitaifa la Chanjo ya Polio Awamu ya Nne November 30, 2022
  • Angalia zote

Habari za hivi Karibuni

  • Jamii Yatakiwa Kupinga Mila Potofu, Kandamizi

    March 08, 2023
  • Meatu Pikipiki Tisa

    February 14, 2023
  • TAKUKURU RAFIKI

    January 27, 2023
  • Hongereni Wataalam: Ngatumbura

    January 27, 2023
  • Angalia zote

Video

Ziara ya Waheshimiwa mawaziri nane Wilaya ya Meatu kwa ajili ya kukusanya Maoni ya Kutatua Migogoro
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Miongozo Mbali mbali
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari
  • Dokumenti mbali mbali

Tovuti mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Meatu, Simiyu, Tanzania

    Anwani ya Posta: S.L.P 44

    Simu: 028 2795 008

    Simu ya Mkononi: 0622 404 712

    Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.