Mwanachama atanufaika na huduma zote za afya ya msingi za kinga na tiba zitolewazo katika zahanati, kituo cha afya na hospitali ya Wilaya kama vile:
Ndiyo, endapo unaishi karibu na hospitali. Unaweza kupata huduma za tiba za msingi, iwapo kama tatizo ni kubwa unatakiwa kufuata taratibu za wagonjwa wanaohamishwa kutoka zahanati/kituo cha afya kwenda hospitali.
Matumizi ya fedha za Mfuko wa
Ndiyo, kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano watapata huduma bure kwa mujibu wa miongozo ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Ndiyo, unaweza kuhudumia watoto katika familia,hii ikiwa ni watoto walioko katika kaya iliyojiandikisha ambao umri wao ni chini ya miaka 18.
Ndiyo, wanaweza. Watasajiliwa kama wanachama wa CHF, na watajiunga katika makundi kulingana na mwongo
Unaweza kupata huduma za kiserikali kwa kupiga *152*00# kisha fuata maelekezo
Meatu, Simiyu, Tanzania
Anwani ya Posta: S.L.P 44
Simu: 028 2795 008
Simu ya Mkononi: 0622 404 712
Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.