• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Meatu District Council
Meatu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Meatu

  • Mwanzo
    • sub home
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Miundombinu, Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Pre Primary Education
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango na Uratibu
      • Utumishi, Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha
      • Uratibu wa Manunuzi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Expertise
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Fedha, Uongozi na Mipango
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha habari

Mipango

Malengo:

Kutoa utaalam na huduma kuhusiana na mipango, bajeti, ufuatiliaji na tathmini.


Divisheni inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kuandaa mikakati ya kati na ya muda mrefu, mipango na bajeti.
  • Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa mikakati, mipango na bajeti.
  • Kuandaa na kufanya mapitio ya wasifu wa kiuchumi wa Halmashauri.
  • Kuratibu utekelezaji wa mashirikiano kati ya Halmashauri na Sekta binafsi
  • Kuratibu ukusanyaji wa taarifa za Halmashauri kuzichambua na kuzihifadhi.
  • Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusiana na michakato ya usimamizi na tathmini.
  • Kuratibu usimamizi wa majanga ndani ya Halmashauri; na
  • Kuratibu shughuli za Halmashauri zinazotekelezwa na Taasisi nyingine kama masuala ya maji na Ardhi.


Divisheni hii ina vitengo viwili ambavyo ni:-

  • Mipango na Bajeti
  • Ufuatiliaji na Tathmini


Mipango na Bajeti

Majukumu:

  • Kuratibu utekelezaji wa sera za uchumi za uzalishaji.
  • Kutafsiri na kusambaza sera za Serikali Kuu na Wizara ndani ya Halmashauri.
  • Kuratibu mapitio ya bajeti ya nusu na kwa Mwaka mzima.
  • Kuratibu uandaaji wa mipango na bajeti za Halmashauri.
  • Kuunganisha taarifa za miradi, program, mipango kazi na mikakati ya maendeleo.
  • Kutoa mwongozo wa kitaalam katika kuandaa mpango mkakati na taratibu za kibajeti ndani ya Halmashauri: na
  • Kuratibu maandalizi ya taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Tawala


Ufuatiliaji na Tathmini

Majukumu:

  • Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa mipango ya Halmashauri.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji za Halmashauri kwa kila robo.
  • Kushiriki kuandaa mipango, program na shughuli za kibajeti pamoja na kutengeneza vipimo vya malengo katika utendaji.
  • Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusiana na taratibu za ufuatiliaji na tathmini.
  • Kufuatilia matokeo ya utekelezaji wa mipango, miradi na program mbalimbali kwa Halmashauri.
  • Kuratibu upatikanaji wa takwimu na taarifa za kisekta za kila siku.
  • Kushirikiana na shirika la Takwimu (NBS) katika kukusanya, kuingiza, kuchambua na kutafsiri takwimu.
  • Kuratibu uandaaji na usambazaji wa wasifu wa kiuchumi wa Halmashauri.
  • Kuandaa nyenzo za ukusanyaji taarifa.
  • Kuratibu upatikanaji wa takwimu wa kila siku za kisakta.
  • Kuratibu utekelezaji wa kiutendaji wa shughuli za mikataba.

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Mwaka 2023 December 14, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE) 2022 December 01, 2022
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani November 30, 2022
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Zoezi la Kitaifa la Chanjo ya Polio Awamu ya Nne November 30, 2022
  • Angalia zote

Habari za hivi Karibuni

  • Jamii Yatakiwa Kupinga Mila Potofu, Kandamizi

    March 08, 2023
  • Meatu Pikipiki Tisa

    February 14, 2023
  • TAKUKURU RAFIKI

    January 27, 2023
  • Hongereni Wataalam: Ngatumbura

    January 27, 2023
  • Angalia zote

Video

Ziara ya Waheshimiwa mawaziri nane Wilaya ya Meatu kwa ajili ya kukusanya Maoni ya Kutatua Migogoro
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Miongozo Mbali mbali
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari
  • Dokumenti mbali mbali

Tovuti mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Meatu, Simiyu, Tanzania

    Anwani ya Posta: S.L.P 44

    Simu: 028 2795 008

    Simu ya Mkononi: 0622 404 712

    Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.