• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Meatu District Council
Meatu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Meatu

  • Mwanzo
    • sub home
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Miundombinu, Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Pre Primary Education
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango na Uratibu
      • Utumishi, Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha
      • Uratibu wa Manunuzi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Expertise
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Fedha, Uongozi na Mipango
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha habari

Miundombinu, Maendeleo ya Miji na Vijijini

Lengo:

Kusimamia na kushauri juu ya masuala yote yanayohusika na miundombinu ndani ya Halmashauri.

Majukumu:

  • Kushauri juu ya masuala yanayohusiana na sekta ya ujenzi.
  • Kupanga maendeleo ya miundombinu.
  • Kuchambua na kutoa mapendekezo kuhusiana na malipo ya madai ya wakandarasi.
  • Kukagua kazi za ujenzi zinazotekelezwa na Halmashauri na kuhakikish zina ubora.
  • Kutoa vyeti kwa wakandarasi kwa mikataba iliyokamilika
  • Kufungua barabara mpya kwa kushirikiana na TARURA.
  • Kuanzisha na kudumisha mahusiano na taasisi za nje na ndani ya nchi zinazoshughulika na masuala ya ujenzi.
  • Kushiriki katika kuwezesha utatuzi wa migogoro ya ardhi.
  • Kusimamia michakato ya uendelezaji wa miji kwa kushirikiana na wizara yenye dhamana na masuala ya ardhi.
  • Kusimamia maendeleo ya makazi ya miji na vijiji kwa kushirikiana na wizara yenye ardhi.

Divisheni hii ina vitengo vitatu (3) kama ifuatavyo:-

  • Ujenzi.
  • Barabara.
  • Maendeleo ya Miji na Vijiji.


UJENZI

  1. Kutoa ushauri kuhusiana na sheria, kanuni na taratibu juu ya mambo yote yanayohusiana na ujenzi.
  2. Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na kanuni kuhusiana na masuala ya ujenzi.
  3. Kuandaa mikataba inayohusiana na ujenzi wa majengo.
  4. Kuandaa na kukadiria gharama za ujenzi.
  5. Kufuatilia utendaji kazi wa wakandarasi.
  6. Kuchambua na kutoa mapendekezo kuhusiana na malipo ya wakandarasi.
  7. Kukagua majengo na kuhakikisha ubora wake.
  8. Kutoa vyeti kwa wakandarasi kwa kazi zilizokamilika kwa mujibu wa mikataba.
  9. Kusimamia uendeshaji wa karakana za Halmashauri.

BARABARA 

  1. Kutoa ushauri kwa masuala yahusuyo utambuzi na ufunguzi wa Barabara mpya.
  2. Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na kanuni kuhusiana na ufunguaji wa Barabara mpya.
  3. Kufungua Barabara mpya katika maeneo yaliyopimwa.
  4. Kuandaa mikataba ya ufunguzi wa Barabara mpya.
  5. Kuandaa makadirio ya gharama za ufunguzi wa Barabara mpya.
  6. Kufuatilia utendaji wa wakandarasi.
  7. Kutoa Hati kwa wakandarsi kwa kazi zilizokamilika kwa mujibu wa mikataba.
  8. Kuchambua na kutoa mapendekezo kuhusiana na malipo ya madai ya wakandarasi.
  9. Kukagua Barabara zilizofunguliwa kwa lengo la kuhakiki ubora.
  10. Kusimamia ujenzi na ukarabati wa vituo vya mabasi

MAENDELEO YA VIJIJI NA MIJI

  1. Kusimamia maendeleo ya Vijijini na Mijini kwa kushirikiana na Wizara yenye dhamana.
  2. Kushimamia huduma za kijamii na mazingira.
  3. Kutoa mwongozo wa mipango ya maendeleo ya Miji, Nyumba na matumizi endelevu ya ardhi.
  4. Kusimamia michakato ya uendeshaji wa Miji kwa kushirikiana na Wizara yenye dhamana.
  5. Kuratibu ukuaji wa Miji inayochipukia kutoka hadhi ya Makazi ya Vijiji.
  6. Kushiriki katika kuwezesha utatuzi wa migogoro ya matumizi ya Ardhi.

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Mwaka 2023 December 14, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE) 2022 December 01, 2022
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani November 30, 2022
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Zoezi la Kitaifa la Chanjo ya Polio Awamu ya Nne November 30, 2022
  • Angalia zote

Habari za hivi Karibuni

  • Jamii Yatakiwa Kupinga Mila Potofu, Kandamizi

    March 08, 2023
  • Meatu Pikipiki Tisa

    February 14, 2023
  • TAKUKURU RAFIKI

    January 27, 2023
  • Hongereni Wataalam: Ngatumbura

    January 27, 2023
  • Angalia zote

Video

Ziara ya Waheshimiwa mawaziri nane Wilaya ya Meatu kwa ajili ya kukusanya Maoni ya Kutatua Migogoro
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Miongozo Mbali mbali
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari
  • Dokumenti mbali mbali

Tovuti mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Meatu, Simiyu, Tanzania

    Anwani ya Posta: S.L.P 44

    Simu: 028 2795 008

    Simu ya Mkononi: 0622 404 712

    Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.