• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Meatu District Council
Meatu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Meatu

  • Mwanzo
    • sub home
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Miundombinu, Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Pre Primary Education
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango na Uratibu
      • Utumishi, Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha
      • Uratibu wa Manunuzi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Expertise
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Fedha, Uongozi na Mipango
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha habari

Utumishi, Utawala na Rasilimali Watu

Malengo:

Kutoa utaalam wa huduma kuhusiana na usimamizi wa Rasilimali Watu na masuala yote ya Kiutawala ndani ya Halmashauri na kuratibu masuala yote yanayohusiana na Uchaguzi Mkuu na Chaguzi za Mamlaka ya Serikali za Mitaa ndani ya Halmashauri.

Majukumu:

  • Kutafsiri kanuni za utumishi wa Umma, kanuni za kudumu za Utumishi wa Umma na Sheria nyingine za kazi.
  • Kusimaia uzingatiaji wa maadili na shughuli za kuongeza uadilifu ikiwemo elimu ya kupambana narushwa.
  • Kusimamia utekelezaji wa masuala ajira, utambulisho wa kazi na majukumu kwa watumishi wapya, mafunzo, upandishaji vyeo, nidhamu, mpango wa kuwabakisha watumishi, kujenga morali ya kazi na maslahi ya watumishi.
  • Kuhakikisha kuwepo na matumizi ya tija na ufanisi katika rasilimali watu.
  • Kuratibu baraza la wafanyakazi  na masuala ya vyama vya wafanyakazi.
  • Kusimamia maendelo ya utekelezaji wa sera ya ajira, taratibu na miongozo ya ajira, mpango wa mafunzo kazini, upandishaji vyeo na usimamizi wa utendaji kazi.
  • Kufanya ukaguzi wa mara juu ya uhitaji wa ujuzi wa kitaaluma kwa watumishi.
  • Kusimaia masuala ya utunzaji kumbukumbu, usambazaji wa nyaraka na kusimamia taratibu za uendeshaji wa Ofisi.
  • Kusimaia masuala ya itifaki.
  • Kuwezesha upatikanaji wa huduma za kiusalama, usafirishaji pamoja na huduma za umeme, maji na mawasiliano.
  • Kuwezesha ukarabati wa vifaa vya Ofisi na ukarabati wa majengo.
  • Kuratibu shughuli za ukuzaji wa maadili na uadilifu.
  • Kuratibu utekelezaji wa masuala ya mtambuka.
  • Kuratibu utekelezaji wa ushirikiano na sekta binafsi na mktaba kwa wateja.
  • Kutoa ushauri kuhusiana ufanisi wa kitaasisi
  • Kuratibu shughuli za uchaguzi ndani ya Halmashauri.
  • Kusimaia uchaguzi Mkuu na chaguzi za Mamlaka za Serikali za Mitaa.


Divisheni hii ina Vitengo viwili ambavyo ni:-

  • Rasilimali watu.
  • Utawala


Rasilimali watu

Majukumu:

  • Kutafsiri na kuhakikisha kuwa watumishi wanazingatia kanuni za utumishi, kanuni za kudumu za Utumishi wa Umma na sheria nyingine za Ajira.
  • Kutekeleza mpango na maendeleo ya Rasilimali watu.
  • Kuratibu Ajira mpya, kuwatambulisha watumishi wapya kwenye majukumu yao, kuwapangia watumishi vituo vya kazi, kuthibitisha kazini, mafunzo kazini, upandishaji vyeo na uhamisho.
  • Kuandaa madirio ya ikama na bajeti na kusimaia daftari la mishahara.
  • Kuratibu utekelezaji wa mpango wa mapitio ya upimaji kazi wa utendaji kazi kwa watumishi.
  • Kusimaia maslahi wa watumishi (mafao ya wastaafu, posho, mfao ya kusitisha ajira, mafao ya kujitoa) n.k.
  • Kusimaia masuala ya hitimisho ya ajira (kustaafu, kuachakazi n.k)
  • Kuwezesha mahusiano kazini, ustawi wa watumishi, afya na usalama kazini, michezo na utamaduni.
  • Kuandaa mpango wa likizo, kuratibu likizo za ugonjwa, likizo za uzazi na mpango wa mafunzo.
  • Kuratibu dawati la malalamiko.
  • Atahudumu kama Sekretarieti kwenye bodi ya ajira.
  • Kuratibu baraza la wafanyakazi na masuala ya vyama vya wafanyakazi


Utawala

Majukumu:

  • Kuwezesha ukarabati na ukarabati wa vifaa vya Ofisi na majengo.
  • Kuratibu utekelezaji wa ukuzaji maadili na uadilifu ikiwemo udhibiti wa vitendo vya rushwa,
  • Kuratibu shughuli za masuala mtambuka.
  • Kusimaia masjala, usambazaji wa nyaraka na uendeshaji wa Ofisi.
  • Kusimamia masuala ya Itifaki.
  • Kusimaia masuala ya ulinzi na usalama, usafirishaji, huduma za maji, umeme na mawasiliano.
  • Kuratibu utekelezaji wa ushiriki wa sekta binafsi, na Mkataba kwa wateja.
  • Kushauri kuhusiana na tija kiutendaji ndani ya Ofisi.
  • Kuratibu shughuli za uchaguzi ndani ya Halmashauri.
  • Kuratibu Uchaguzi Mkuu na Chaguzi za Mamlaka za Serikali za Mitaa; na
  • Kufuatilia utekelezaji wa misingi ya utawala bora.

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Mwaka 2023 December 14, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE) 2022 December 01, 2022
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani November 30, 2022
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Zoezi la Kitaifa la Chanjo ya Polio Awamu ya Nne November 30, 2022
  • Angalia zote

Habari za hivi Karibuni

  • Jamii Yatakiwa Kupinga Mila Potofu, Kandamizi

    March 08, 2023
  • Meatu Pikipiki Tisa

    February 14, 2023
  • TAKUKURU RAFIKI

    January 27, 2023
  • Hongereni Wataalam: Ngatumbura

    January 27, 2023
  • Angalia zote

Video

Ziara ya Waheshimiwa mawaziri nane Wilaya ya Meatu kwa ajili ya kukusanya Maoni ya Kutatua Migogoro
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Miongozo Mbali mbali
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari
  • Dokumenti mbali mbali

Tovuti mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Meatu, Simiyu, Tanzania

    Anwani ya Posta: S.L.P 44

    Simu: 028 2795 008

    Simu ya Mkononi: 0622 404 712

    Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.