• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Meatu District Council
Meatu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Meatu

  • Mwanzo
    • sub home
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Miundombinu, Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Pre Primary Education
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango na Uratibu
      • Utumishi, Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha
      • Uratibu wa Manunuzi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Expertise
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Fedha, Uongozi na Mipango
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha habari

Pre Primary Education

Malengo:

Kupanga na kusimaia utekelezajiwa Sera, Sheria na Miongozo katika utoaji wa Elimu ya Awali, Elimu ya Msingi, Mahitaji Maalum na Elimu ya Mfumo usio Rasmi.

Majukumu ya Divisheni ni kama ifuatavyo:-

  • Kuandaa mpango wa upatikanaji, usambazaji na matumizi ya rasilimali katika Shule za Msingi.
  • Kusimamia mitihani ya upimaji na mitihani ya kitaifa kwa shule ya Msingi.
  • Kusimamia utaoaji wa Elimu ya Watu Wazima na Elimu isiyo rasmi katika ngazi ya Awali na Msingi.
  • Kuratibu elimu ya stadi za kazi katika shule za Msingi
  • Kupima utimamu kwenye mahitaji maalum, elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi.
  • Kutoa ushauri kuhusiana  na uanzishaji na uimarishaji wa mahitaji maalum, elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi.
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango na program za elimu msingi.
  • Kuanzisha na kuimarishakanzidata kuhusiana na elimu ya awali na elimu ya msingi.
  • Kuratibu na kusimamia shughuli za michezo kwenye shule za msingi.


Divisheni hii ina vitengo vinne (4) kama ifuatavyo:-

  • Taaluma
  • Vifaa na Takwimu
  • Mahitaji Maalum
  • Elimu ya Watu Wazima na Elimu Isiyo Rasmi


Taaluma

Majukumu:

  • Kuratibu utekelezaji wa Sera, mipango na miongozo ya Elimu Msingi.
  • Kuratibu na kusimamia mitihani ya upimaji na mitihani ya kitaifa ya darasa la Nne na darasa la saba.
  • Kusimamia na kutathmini utekelezaji wa mipango ya elimu ya awali na msingi.
  • Kuandaa taarifa kuhusiana na utekelezaji wa mipango ya maendeleo na program za elimu; na
  • Kuratibu utoaji wa elimu ya kujitegemea na usimamiziwa shughuli za uzalishaji mali namiradi kwa shule za msingi


Vifaa na Takwimu

Majukumu:

  • Kukusanya, kuchambua na kutafsiri takwimu za elimu ya Awali na msingi.
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na matumizi ya rasilimali kwenye shule za msingi.
  • Kuratibu takwimu na vielelezo vya uandikishaji kwenye shule.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji za maendeleo ya elimu ; na
  • Kubainisha mahitaji ya rasilimali kwa shule zote ndani ya Halmashauri


Mahitaji Maalum

Majukumu:

  • Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mpango wa mahitaji maalum kwa shule za msingi.
  • Kuwabaini watoto wenye mahitaji maalum na kuwapangia shule.
  • Kukusanya taarifa za watoto wenye mahitaji maalum na kuishauri mamlaka ipasavyo.
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na matumizi ya rasilimali kwa elimu ya mahitaji maalum


Elimu ya Watu Wazima na Elimu Isiyo na Mfumo Rasmi

Majukumu:

  • Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mipango ya elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi kwa shule za msingi.
  • Kuratibu elimu ya stadi za kazi.
  • Kuandaa mahitaji ya upimaji wa Elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi.
  • Kushauri kuhusiana na uanzishaji na uimarishaji wa vituo vya kutolea elimu isiyo rasmi; na
  • Kuratibu upatikanai, usambazaji na matumizi ya rasilimali kwa elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi.

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Mwaka 2023 December 14, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE) 2022 December 01, 2022
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani November 30, 2022
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Zoezi la Kitaifa la Chanjo ya Polio Awamu ya Nne November 30, 2022
  • Angalia zote

Habari za hivi Karibuni

  • Jamii Yatakiwa Kupinga Mila Potofu, Kandamizi

    March 08, 2023
  • Meatu Pikipiki Tisa

    February 14, 2023
  • TAKUKURU RAFIKI

    January 27, 2023
  • Hongereni Wataalam: Ngatumbura

    January 27, 2023
  • Angalia zote

Video

Ziara ya Waheshimiwa mawaziri nane Wilaya ya Meatu kwa ajili ya kukusanya Maoni ya Kutatua Migogoro
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Miongozo Mbali mbali
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari
  • Dokumenti mbali mbali

Tovuti mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Meatu, Simiyu, Tanzania

    Anwani ya Posta: S.L.P 44

    Simu: 028 2795 008

    Simu ya Mkononi: 0622 404 712

    Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.