• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Meatu District Council
Meatu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Meatu

  • Mwanzo
    • sub home
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Miundombinu, Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Pre Primary Education
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango na Uratibu
      • Utumishi, Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha
      • Uratibu wa Manunuzi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Expertise
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Fedha, Uongozi na Mipango
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha habari

Kilimo, Mifugo na Uvuvi

Malengo:

Kukuza na kuendeleza Kilimo, Mifugo na Uvuvi

Majukumu:

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria na Kanuni za Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Uvuvi.
  • Kupendekeza viwango na bei za mazao na huduma kutokana na Kilimo, mifugo na uvuvi.
  • Kuandaa mipango na program za muda mfupi na za muda mrefu katika kuendeleza kilimo, umwagiliaji,mifugo na uvuvi.
  • Kusimamia vyama vya ushirika katika Halmashauri.
  • Kutoa ushauri wa kitaalam kwa wadau wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na uvuvi.
  • Kuandaa taarifa za Kilimo, Umwagiliaji na uvuvi.
  • Kusimamia na kudhibiti ukusanyaji wa mapato yatokanayo na shughuli za kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Uvuvi.

Divisheni hii ipo chini ya Mkuu wa Divisheni na ina Seksheni tatu (3):-

Seksheni ya Kilimo

  • Kuandaa na kutekeleza program za usambazaji wa mbolea katika vituo mbalimbali vya mauzo
  • Kuandaa program za kupangilia na kuhifadhi mazao ya kilimo.
  • Kufanya upimaji wa sempuli za udongo kwenye mashamba ya wakulima na kushauri ipasavyo.
  • Kutoa ushauri kwa wakulima kuhusiana na uhifadhi wa mazao baada ya mavuno, uchakataji na njia za kuongeza thamani ya mazao ya kilimo.
  • Kuandaa makisio ya mavuno kwa mazao muhimu
  • Kufanya sensa ya takwimu na shughuli za kilimo.
  • Kuandaa mashamba darasa ya kilimo bora na matumizi sahihi ya mbolea ndani ya Halmashauri.
  • Kusimamia utendaji na uendeshaji wa vyama vya ushirika.
  • Kuratibu namna ya utumiaji wa mbolea na kinga ya mazao katika ngazi za vijiji.
  • Kuandaa mafunzo ya wakulima kwa ngazi za vijiji.
  • Kuandaa na kutekeleza mpango wa utofauti wa mazao hususani kwenye maeneo ya vitalu  vya umwagiliaji.
  • Kutekeleza mendeleo ya program ya nishati itokanayo na masalia ya mazao na kinyesi cha wanyama. (Biogas)
  • Kupanga, kuunda, kujenga na kuimarisha miundombinu ya skimu za umwagiliaji.
  • Kuwezesha uanzishwaji jumuiya za wamwagiliaji na kuzijengea uwezo.
  • Kuwezesha utungaji wa sheria ndogo za jumuiya za umwagiliaji.

Seksheni ya Mifugo

  • Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria, Kanuni na taratibu kuhusiana na musuala ya mifugo.
  • Kuandaa mipango ya program za mda mfupi na mda mrefu za maendeleo ya mifugo.
  • Kuthamini uhifadhi na matumizi ya rasilimali mifugo.
  • Kusimamia uendeshaji wa vyama vya ushirika vya wafugaji.
  • Kutoa msaada wa kitaalam kwa wadau wa sekta ya mifugo.
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote ihusuyo mifugo.

Seksheni ya Uvuvi

  • Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria, Kanuni na taratibu zote za Sekta ya Uvuvi.
  • Kuandaa mipango na program za muda mfupi na mrefu za Maendeleo ya Sekta ya uvuvi.
  • Kutathmini uhifadhi na matumizi ya rasilimali za uvuvi.
  • Kusimamia ukuzaji na uendeshaji wa vyama vya ushirika kwa wavuvi.
  • Kutoa ushauri wa kitaalam kwa wadau wa Sekta ya Uvuvi.
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote ya sekta ya uvuvi.

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Mwaka 2023 December 14, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE) 2022 December 01, 2022
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani November 30, 2022
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Zoezi la Kitaifa la Chanjo ya Polio Awamu ya Nne November 30, 2022
  • Angalia zote

Habari za hivi Karibuni

  • Jamii Yatakiwa Kupinga Mila Potofu, Kandamizi

    March 08, 2023
  • Meatu Pikipiki Tisa

    February 14, 2023
  • TAKUKURU RAFIKI

    January 27, 2023
  • Hongereni Wataalam: Ngatumbura

    January 27, 2023
  • Angalia zote

Video

Ziara ya Waheshimiwa mawaziri nane Wilaya ya Meatu kwa ajili ya kukusanya Maoni ya Kutatua Migogoro
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Miongozo Mbali mbali
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari
  • Dokumenti mbali mbali

Tovuti mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Meatu, Simiyu, Tanzania

    Anwani ya Posta: S.L.P 44

    Simu: 028 2795 008

    Simu ya Mkononi: 0622 404 712

    Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.