Madarasa yamefikia hatua ya ufungaji lenta ya juu tar 19 Nov 2021
Ufungaji wa lenta ya juu ya madirisha umekamilika 20 Nov 2021
Upigaji kenchi umeanza 26 Nov 2021
Ufungaji wa kenchi 26 Nov 2021
Ufungaji wa kenchi umekamilika 29 Nov 2021
Mbao zipo site tayari kwa ajili ya kuanza kutengeneza madawadi Tarehe 29 Nov 2021
Upigaji ripu na uezekaji umekamilika 12 Dis 2021
Meatu, Simiyu, Tanzania
Anwani ya Posta: S.L.P 44
Simu: 028 2795 008
Simu ya Mkononi: 0622 404 712
Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.