Uchimbaji msingi na kufyatua tofari Tr.7.11.2021
Kumwaga zege la chini Tr.8/11/2021
kujenga msingi Tr.10.11.2021
kufunga beam (linta) ya chini. Tr.12.11.2021
kutengeneza kench. 16/11/2021
usawa wa linta ya juu tunamwagilia kesho wanaanza kusuka beam (linta) ya juu ya madirisha. 17/11/2021
Ufungaji wa lenta ya juu umeanza 20 Nov 2021
Kimali Sekondari, tumefunga lenta ya juu ya madirisha. 21 Nov 2021
Upanfishaji wa tofali juu ya lenta 24 Nov 2021
Kuanza kupandisha kenchi 26 Nov 2021
Kimali tumekamilisha kupiga bati, Fisher board, kupachika grill, kuweka jamvi. Sasa tunaendelea na Plaster. 4 Dec 2021
Hatua ya kuezeka, plasta na Jamvi imekamilika 12 Dis 2021
Meatu, Simiyu, Tanzania
Anwani ya Posta: S.L.P 44
Simu: 028 2795 008
Simu ya Mkononi: 0622 404 712
Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.