Ujenzi wa madarasa 4 shule shikizi ya mwababili hatua ya msingi imekamilika, hatua inayofuata ni kunyanyua ukuta 18 Nov 2021
Hatua ya lenta ya juu 24 Nov 2021
Kenchi zimesukwa 28 Nov 2021
Ujamilishaji wa kenchi 29 Nov 2021
Bati zimeanza kupigwa tar 3 Dec 2021
Uezekaji umekamilika hatua inayofuata ni kupiga ripu 12 Dis 2021
Meatu, Simiyu, Tanzania
Anwani ya Posta: S.L.P 44
Simu: 028 2795 008
Simu ya Mkononi: 0622 404 712
Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.