Umwagaji wa jamvi tayarI 19 Nov 2021
Kazi ya kunyanyua ukuta imeanza leo 20 Nov 2021
Tofali juu ya lenta zimejengwa 28 Nov 2021
Upigaji kenchi umekamilika 1 Dec 2021
Upauaji na ripu umemalizika 12 Dis 2021