Ufungaji wa Lenta ya juu umekamilika 26 Nov 2021
Ng'hoboko sekondari, tumepaua. Wanaendelea kumalizia lipu kwenye msingi pia kujenga ubao. Kazi za kesho ni pamoja kupiga blundering. 5 Dec 2021
Ukamilishaji wa Hatua za mwisho kwa ajili ya kuanza kupaka rangi 12 Dis 2021