Ujenzi wa msingi na umwagaji zege umekamilika kufikia 16Nov 2021
Kujenga ukuta hadi usawa wa lenta ya madirisha umekamilika leo tarehe 17 Nov 2021
Ukamilishaji wa lenta 23 Nov 2021
Kuezeka na plasta tayari tunasubiri kupaka rangi 12 Disemba 2021