Sunday 22nd, December 2024
@Mwabusalu - Meatu
Msimu wa Ununuzi wa Pamba (2017/18) unatarajiwa kufunguliwa rasmi kitaifa tarehe 5 Juni, 2017 katika kijiji cha Mwabusalu, Wilayani Meatu. Mgeni rasmi katika sherehe hizi atakuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Ndugu, Anthony Mtaka.
Meatu, Simiyu, Tanzania
Anwani ya Posta: S.L.P 44
Simu: 028 2795 008
Simu ya Mkononi: 0622 404 712
Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.