Halmashauri ya wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu imeandaa mpango mkakati wa kuboresha kilimo cha pamba , mahindi na mtama kwa lengo la kuwawezesha wakulima kuzalisha mazao mengi na yenye ubora kwa kufuata kanuni za kilimo bora.Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Ndg.Fabian Manoza alipozungumza na wananchi wa Kata ya Mwanhuzi kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika kituo cha mabasi cha mjini Mwanhuzi,, wakati wa Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka wilayani humo. Habari zaidi........
Meatu, Simiyu, Tanzania
Anwani ya Posta: S.L.P 44
Simu: 028 2795 008
Simu ya Mkononi: 0622 404 712
Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.