• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Meatu District Council
Meatu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Meatu

  • Mwanzo
    • sub home
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Miundombinu, Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Elimu ya Sekondari
      • Pre Primary Education
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango na Uratibu
      • Utumishi, Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha
      • Uratibu wa Manunuzi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Expertise
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao
      • Fedha, Uongozi na Mipango
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha habari

Mh Diwani na Dereva wapoteza maisha katika ajali ya gari

Imewekwa: July 14th, 2018

Watu wawili(Diwani wa Kata ya Mwanhuzi na Dereva wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu) wamefariki dunia leo majira ya asubuhi baada ya gari la halmashauri ya wilaya ya Meatu walilokua wamepanda kupata ajali eneo la Mkiwa Ikigi, Singida.

Gari hilo lilkua limebeba madiwani, Mkurugenzi mtendaji na maafisa wa Halmashauri ya Wilaya Meatu.

Taarifa za awali zinasema watu waliofariki ni Elias Shukia( Diwani) Juma Suleiman Kipika(Dereva) ambapo Mwenyekiti wa Halmashauri Ndugu Pius Machungwa, Mkurugenzi Mtendaji pamoja na mhandisi wa maji wa Halmashauri ya Wilaya hali zao zinaendelea vzuri baada ya kupata huduma ya kwanza katika hospitali na kuruhusiwa.

Aidha maafisa wawili (Kilimo na uvuvi) hali  zao bado zinaendelea vzuri lakin bado wamebaki hospitali kwa ajili ya uangalizi zaidi.

Chanzo cha ajali bado hakijafahamika japokuwa inadhaniwa kuna ni kupasuka kwa tairi la mbele la gari

Taratibu za mazishi zinazoratibiwa na halmashauri ya wilaya zimefanyika ambapo Marehem Juma atazikwa Singida(Nyumbani kwao) kesho, na mwili wa Marehemu Shukia utasafirishwa kuja mjini Mwanhuzi kwa ajili ya mazishi.

Mkurugenzi mtendaji anatoa pole kubwa sana kwa familia ndugu na jamaa wote wa marehemu, wananchi wa kata ya Mwanhuzi pamoja na wafanyakazi wote wa Halmashauri na wananchi.

Aidha anawasisitiza kuwa wavumilivu kuwaombea maerehemu  na kuzidi kuwaombea majeruhi wote katika kipindi kigumu wapone haraka.

Anaandika Linus R. James -Meatu DC

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi September 16, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji kwa Ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa September 16, 2024
  • Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 February 20, 2024
  • Taarifa ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Matokeo ya Mwanzo February 20, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi Karibuni

  • Jamii Yatakiwa Kupinga Mila Potofu, Kandamizi

    March 08, 2023
  • Meatu Pikipiki Tisa

    February 14, 2023
  • TAKUKURU RAFIKI

    January 27, 2023
  • Hongereni Wataalam: Ngatumbura

    January 27, 2023
  • Angalia zote

Video

Ziara ya Waheshimiwa mawaziri nane Wilaya ya Meatu kwa ajili ya kukusanya Maoni ya Kutatua Migogoro
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Miongozo Mbali mbali
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari
  • Dokumenti mbali mbali

Tovuti mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Meatu, Simiyu, Tanzania

    Anwani ya Posta: S.L.P 44

    Simu: 028 2795 008

    Simu ya Mkononi: 0622 404 712

    Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.