Mipango,takwimuna ufuatiliaji
Utangulizi
Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ni miongoni mwa idara za halmashauri ya wilaya ya Meatu zinazounda timu ya menejementi ya Halmashauri ya Meatu ambayo inajukumu la kutoa huduma bora za kiuchumi na kijamii kwa wananchi na wadau wake katika maendeleo.
Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji inalo jukumu la msingi la kuandaa mpango wa bajeti wa halmashauri na kusimamia utekelezaji. Jukumu hili limejengwa na kusimamiwa pia na sheria ya bajeti Na 11 ya mwaka 2015, sheria ndogo za halmashauri pamoja na miongozo na nyaraka mbalimbali za serikali zinazosimamia taratibu za mipango, Takwimu na Ufuatiliaji.
Idara ya Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji ilianzishwa mwaka1987 katika Halmashauri ya Wilaya ya Meatu.
MAJUKUMU YA IDARA YA MIPANGO,TAKWIMU NA UFUATILIAJI.
MAWASILIANO YA IDARA.
Mpaka sasa Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji inajumla ya watumishi 6( Sita) ambao ni
1. Ndg, Gervas A. Amata (Mkuu wa Idara)
Simu 0754016881
Barua pepe:gervasamata@gmail.com
2. Rogatevane kipigapasi(Mchumi I)
Simu 0769303606
Barua pepe: roggykipper@gmail.com
3. Lenzako K. Msabaha(Mchumi II)
Simu 0754819942
Barua pepe:lenzakom7ha@gmail.com.
4. Ibrahim Mponzi(Mchumi II)
Simu 0756488610
Barua pepe:imponzi@gmail.com
5. Witness K. Mujuni (Mchumi II )
Simu 0620817180
Barua pepe: Alindamujuni1@gmail.com
6. Tilu M. Hanzi (Katibu Mahsusi)
Simu 0764201665
Barua pepe:hanzif5@gmail.com
Meatu, Simiyu, Tanzania
Anwani ya Posta: S.L.P 44
Simu: 028 2795 008
Simu ya Mkononi: 0622 404 712
Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.